TATHIMINI YA ATHARI ZA MADABILIKO YA HALI YA HEWA NA UAINISHAJI (UHAKIKI) WA NJIA MBALIMABALI ZINAZOWEZA KUSAIDIA KUKABILIANA NA MABADILIKO HAYO KATIKA MANDHARI YA KILIMO NA YALIYO KATIKA HATARI YA KUATHIRIKA MIKOA YA DODOMA NA MOROGORO, TANZANIA
Mabadiliko ya hali ya hewa yanayoikumba dunia hivi sasa yamekuwa na athari mbalimbali hasa katika maeneo yatumiwayo kwa ajili ya kilimo katika nchi zimazoendelea Mabadiliko haya yamechangiwa na mambo mengi hasa ya kimaendeleo katika nchi zilizoendelea. br>
Lakini ikumbukwe pia kuwa kuna athari zinazojitokeza katika maeneo husika yanayotokana na utumiaji mbaya wa ardhi.
Mradi huu unaoangalia athari hizo na kujaribu kuangalia njia mbali mbali ambazo zinaweza kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa hasa kwa maeneo ya kilimo,umejikita katika nchi ya Tanzania na hasa mikoa ya Morogoro na Dodoma. Morogoro na mikoa muhimu kwa uzalishaji wa chakula katika nchi ya Tanzania na Dodoma ni mkoa ambao huenda ukathiriwa zaidi na mabadiliko ya hali hewa kutokana na kukumbwa na ukame mara kwa mara. Uzalishaji wa chakula umepungua kwa kiasi kukubwa. Kupungua kwa uzalishaji kunatokana na mambo mengi ikiwemo njia hafifu za uzalishaji, kilimo tegemezi kwa hali ya hewa na ukosefu wa mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo haya. Malengo ya Mradi:
Kwa hiyo, mradi huu umeamua kufamya tathimini na uhakiki wa njia zinazotumiwa hasa katika kilimo kwenye maeneo haya, ili kuainisha njia endelevu na zile ambazozinaweza kuleta athari mbaya kwa mazingira hapo baadaye. Ni muhimu kuwa na taarifa hizi kwa maana zinasaidia kulinda mazingira na hata kuhakikisha kuwa siku za usoni maeneo haya hayakumbwi na upungufu wa uzalishaji mazao ya chakula kwa watu wanaoishi maeneo haya na taifa zima kwa ujumla. Mradi unategemea kufia malengo yafuatayo kabla ya kufikia mwisho wake:
Mradi huu umesaidiwa na mashirika yafuatayo: br> ZALF (Shirika la wataalamu kwenye sehemu za mandhari na utumizi wa teknologia inayofaa br> ICRAF (Shirika la wataalamu kilimo-misitu na mazingira) br> PIK (Shirika linalopima na kuchanganua hali ya hewa) br> GTZ (Shirika la Maendeleo la ??Serikali ya Ujerumani) br> Climate change- Mabadiliko ya hali ya hewa br> Landscapes-Uwanda – also Mandhari br> Impact-athari br> Demand- Matakwa br> Development-maendeleo br> Land use- Matumizi ya ardhi br> Assess- Fanya tathimini au upembuzi yakinifu br> Adaptation- Adaptation may mean kuainisha na kutumia mbinu au njia endelevu zitumiwazo na wakulima katika maeneo husika br> Strategies-mikakati br> Protect-kuhifadhi/linda br> Practices-Njia mbalimbali zitumiwazo katika kilimo
|